Posts

Showing posts from January 29, 2017

YANGA YAPAA KILELENI MWA VPL

Image
Mabingwa watetezi wa taji la VPL wamerudi kileleni mwa ligi mara baada ya ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Mwadui FC na kufikisha pointi 46 pointi moja mbele ya watani wao wa jadi Simba SC wenye pointi 45.