Natumia ukurasa huu kumpongeza jenelali Ousman badgie ambaye ndiye mkuu wa majeshi nchini gambia (Head Of Gambian Army)kukataa vikosi vyake kupigana na vikosi vya umoja wa nchi za africa magharibi kwa kifupi (ECOWAS) Jenelali Ousman ameiambia AFP kuwa kamwe hawezi kuamuru vikosi vya jeshi nchini mwake Gambia vipigane na vikosi vya ECOWAS kwa interest za kisiasa,,,sitaki kuona raia wa gambia akiumizwa au kuuwawa kwa sababu za kisiasa''alisema jenelali Ousman. Kwa tafsiri ya ha raka ni kwamba jenelali ousman ameheshimu matakwa ya wananchi wa gambia waliomchagua bwana barrow kutoka chama kikuu cha upinzani kuwa rais wa nchi hiyo.Kwa maana fupi ni kwamba jenelali ousman hayupo tayari kumlinda dikteta yahya jammeh rais aliyeshindwa uchaguzi na kumaliza muda wake kisha kung'ang'ania madaraka. Kwa africa hii huyu ndiye mkuu wa majeshi wa kwanza kuwa upande wa wananchi nampongeza sana na anapaswa kutunzwa tuzo ya nobel,na sina uhakika kama africa yote kuna ...
Posts
Showing posts from January 25, 2017
ECOWAS Forces Found Toxic chemical at the State House of Gambia
- Get link
- X
- Other Apps

Both security and diplomatic sources said that ECOWAS forces in The Gambia have reported a large cache of sophisticated arms and ammunition missing from State House in Banjul. The troops also found that all the air conditioners in State House were loaded with a toxic chemical which was meant to poison the occupants of any of the rooms. State guards who were there until Sunday morning are currently being questioned by ECOWAS military officers. The investigations and other necessary actions are responsible for the delay of arrival of President Barrow from Senegal
KUTOKA MAHAKANI
- Get link
- X
- Other Apps
Anaandika Mh. Saed Kubenea (Mb)~UBUNGO. Hatimaye ile Kesi ya uchochezi iliyokuwa ikinikabili, imefutwa na mahakama ya Hakim Mkazi Kisutu. Katika shauri hilo, serikali ilidai kuwa niliandika habari za uchochezi katika gazeti la MwanaHALISI juu ya kilichotokea Unguja na Pemba, baada ya kufutwa kwa uchaguzi huru na haki wa 25 Oktoba mwaka 2015. Katika uamuzi wake huo, Hakim Mashauri alikubaliana na hoja za utetezi na kuamuru kuniachia huru. Hata hivyo, mara baada ya kuniachia hu ru, jeshi la polisi limenikamata na niko kituo cha polisi kati. Naombeni dua zenu. Saed Kubenea(Mb)